Recent content by shootingStar

  1. S

    JamiiForums Tanzania Nawaza nimekosea wapi au ni laana! Napitia msongo wa mawazo

    umeandika kama kila mtu anajua namna ulivyo na labda unaona kama tunaJua unachopitia. Hebu jaribu kujibu haya maswali 1. Una shida gani ya kimuonekano maana. Umesema namna ulivyo. 2. Kwenye miaka hiyo uliyonayo unajilinganisha na nani mpaka upate depression? Kama yupo acha mara moja kila mtu...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kiboko ya Wachawi aonekana DR Congo, awatambishia Watanzania kuwa anakula maisha. Asema amemisi zile laki tano za kiingilio

    Kwa uchumi upi huo wa kwa lulenge wa kupata 500k? Huyu alikuwa anajibrand ili apate watu wa maana wa kumpelekea hiyo 500k. Naona alikuwa mtakatisha fedha tuu kanisa lilikuwa kivuli cha kujifichia.
Back
Top Bottom