Recent content by shontele

  1. S

    JamiiForums Tanzania Nimeolewa, ila mpenzi wa zamani anasumbua na ananitishia kufanya lolote

    Habari zenu wan JF, Nimeolewa na nina watoto wawili tatizo langu kubwa ni kwamba kabla sijaolewa nilikuwa na mahusiano na kijana mmoja,sikupenda tabia zake nikaamua kusitisha mahusiano,ikapita miaka miwili bila kuonana nae ndipo hapo nilipompata mume wangu ambae alinioa na tunaishi vizuri...
Back
Top Bottom