Recent content by Shondo

  1. Shondo

    Madeni yasikufanye ujiue au kujivua utu, vumilia yatapita tu

    Sijajiunga leo, tokea nimejiunga nina wiki tatu sasa
  2. Shondo

    Madeni yasikufanye ujiue au kujivua utu, vumilia yatapita tu

    Ukiacha kazi then what wakati sijajiandaa na sina plan B zaidi ya vyeti vyangu
  3. Shondo

    Madeni yasikufanye ujiue au kujivua utu, vumilia yatapita tu

    Ndio ni mwajiriwa kabisa ila ajuae ni Mungu kama ulivyosema
  4. Shondo

    Madeni yasikufanye ujiue au kujivua utu, vumilia yatapita tu

    Bahati mbaya sana mie sio dogo halafu dont be a doom prophet sio vzur, yanaweza yakakurudia wewe na kizazi chako unayowaombea wenzio.
  5. Shondo

    Madeni yasikufanye ujiue au kujivua utu, vumilia yatapita tu

    Nawasalimu sana ndg zangu, ningependa kushea nanyi mawili matatu yanayohusiana na maisha na kwanini hupaswi kuukatisha uhai wako kisa madeni, 1. Mimi ni mwajiriwa niliyekata tamaa na maisha kutokana na changamoto za maisha nazopitia kwani hata kula yangu shida na kuvaa ndio usiseme, nina...
Back
Top Bottom