Recent content by SHOMBE

  1. S

    Sukari yaadimika Moshi, inasemekena inafichwa kutokana na kiwanda cha sukari kusitisha uzalishaji kupisha marekebisho

    Wakuu Moshi hakuna Sukari mpaka kwenye maduka ya Mangi. Inasemekana wenye vyao wameificha kwa Sababu kiwanda cha sukari kimesitisha uzalishaji kupisha marekebisho. Yaani hakuna duka unaloweza kuuziwa sukari kilo tatu!
Back
Top Bottom