Recent content by Shomary Byellah dunia

  1. Shomary Byellah dunia

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Naunga mkono mana hata kama nyimbo ilishaombwa ukisearch Google huo wimbo na kuandika Jamii Forums unaletwa moja kwa moja kama ulishatumwa humu
  2. Shomary Byellah dunia

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Mkuu kioo kuna wimbo mmoja nautafuta saana bado sijaupata kaimba mtu mwembamba ft dully sykes unaitwa nilipojua kusoma please fanya makeke kama unayo
  3. Shomary Byellah dunia

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Mkuu kioo na wimbo mwingine wa banana zorro unaitwa kama wanisikia unapatikana mkito.com
  4. Shomary Byellah dunia

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Mkuu kioo naomba wimbo wa binadamu wa banana Zorro tafadhali upo mkito.com
  5. Shomary Byellah dunia

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Unaitwa distance wa lady jay dee
  6. Shomary Byellah dunia

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Huu wimbo mbona hata you tube upo? Hadi video yake ipo sema Mimi ninao kwenye flash video yake na hauitwi jina hilo una jina lake
  7. Shomary Byellah dunia

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Mkuu kioo naomba wimbo wa JUMA mpogo ft juma nature majanga
  8. Shomary Byellah dunia

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Nahitaji wimbo wa snair wimbo unaitwa nipo kwenye gemu rafadhali mwenye nao
  9. Shomary Byellah dunia

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Mimi ninao nashindwa kuu upload humu
  10. Shomary Byellah dunia

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Niko kwenye gemu by snair
  11. Shomary Byellah dunia

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Nay wa mitego nasema nao og na rmx tafadhali
  12. Shomary Byellah dunia

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Mkuu kioo kuna bit zile zinazofanana ile ya bit ya alaji alaji nazitafuta please kama zipo karibu zitume nadhani kuna wengine watazihitaji
  13. Shomary Byellah dunia

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Nitafutie ule wa tot taarab nyama ya bata ni tamu nyama ya bata ni tamu
  14. Shomary Byellah dunia

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Kioo tafadhali kama unao wimbo wa joti mbona usomeki nahiyaji video au audio please Fanya nakeke naona leo upo kimya sana
  15. Shomary Byellah dunia

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Nahitaji nyimbo zifuatazo moja ya solo thang sukari na pilipili nyingine r tone nyimbo inaitwa chumbani
Back
Top Bottom