Kwa muda mrefu sana nchi yetu imekuwa ikipambana kwa kila hali ili kuhakikisha inajiweka kwenye nafasi nzuri katika sekta ya michezo hususani kwenye mashindano ya kikanda, bara na yale ya kimataifa. Jitihada hizi zimekuwa zikifanyika mara kwa mara lakini bado mafanikio yake hayaendani na...
Unatarajia serikali hapo ifanye nini wakati jiografia ya Kahama inapakana na maeneo mengi ya wilaya zenye vijana wengi waliomaliza kidato cha nne na hata hawajui wafanye nini licha ya kuwa na ardhi nzuri, mifugo mingi, misitu, na madini ya kutosha. Ikiwa hakuna mipango endelevu juu ya rasilimali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.