Press conference ya mchange imeisha yamezungumzwa mengi juu ya mipango na utekelezaji wa mauaji na utekelezaji wa vitendo vya kigaidi yaliyowahi kuratibiwa na chama cha demokrasia na maendeleo chini ya Mbowe, slaa na tundu Lissu na uongozi wa CHADEMA kwa ujumla.
Kutoa ushahidi wa namna ambavyo CHADEMA wanataka kugeuza ushahidi wa kumteka Yonnah, kuna sauti ambayo yonnah amemrekodi Henry Kileo akimsihi Yonnah arudi CHADEMA na kugeuza ukweli wa kumteka.
SASA NI ZAMU YA ALIYEKUWA MWENYEKITI WA CHADEMA WILAYA YA TEMEKE YONAH
Maneno ya Yonnah si mengi lakini anasikitika sana kwa asante aliyopewa na CHADEMA ya kumteka na kumtesa nusura ya kumuua, baada ya huduma yake ya kukijenga CHADEMA tokea mwaka 2001.
Lakini mpaka sasa Kamanda Yonnah...
Mchange awaeleza waandishi wa habari live, juu ya aliyekuwa mwenyekiti wa CHADEMA TEMEKE kamanda YONA ambaye alitekwa na kuteswa na Chadema kuwa kwa hivi sasa chadema wanamtaka ajirudi chadema kwa kigezo kwamba akirudi awaeleze watanzania kwamba Yona alikuwa akitumiwa na CCM pamoja na Zitto huku...
Chadema na siasa za kuua na kutesa watu:
Kumteka na kumtesa aliyekuwa mwenyekiti wa chadema temeke
Kumteka na kumtesa John Marwa, kwa muda wa siku nne alifungiwa aakichapwa huku akiwa amevuliwa nguo chadema wakimshikikza aseme ametumwa na zitto na CCM kukibomoa CHADEMA
'
Walimu wanataka kiongozi wao wanayemuamini usiwasemee wewe
MTANDAO HUU, wenye lengo la kuunganisha nguvu za walimu vijana pale kwenye utengano, kuinua ari za walimu vijana pale ilipodorora,
kuhamasisha umoja wa walimu vijana pale unapoonekana kukosekana, lakini pia kuhimiza uwajibikaji...
January amebeba matumaini mapya ya walimu, katika kutatua kero sugu za walimu, mshahara mdogo, PAYE kubwa, makazi bora kwa walimu, malimbikizo nk
Usiwabeze walimu vijana wameanza na matumaini mapya kabisa kwa Mkamba Jr
Hawa ni walimu wenye kuthubutu, wasio na woga na wanaojua umuhimu wa kumuandaa kiongozi, ili azijue kero na changamoto zinazowakabilimu kabla hajaingia ikulu.
Walimu msikatishwe tamaa, uongozi ni utumishi january ni mtumishi wenu, mwambieni kero zenu zote ili akiwa rais azifanyie kazi.
Usiniangushe yaani wewe huufahamu mtandao wenu walimu vijana. soma hapa ufahamu zaidi kuhusu mtandao wa walimu vijana
MTANDAO HUU, wenye lengo la kuunganisha nguvu za walimu vijana pale kwenye utengano, kuinua ari za walimu vijana pale ilipodorora,
kuhamasisha umoja wa walimu vijana pale...
Jibu la swali lako hili.
sisi walimu vijana kwa kuanzia na uwakilishi wa walimu kutoka mikoa 18, tumeamua kwa mapenzi ya dhati kabisa kwa Taifa letu, kuanzisha MTANDAO HUU.
Walimu jeshi kubwa, wako nyuma ya makamba, historia mpya inaenda kuandikwa tanzania baada ya miaka 50, kijana kuongoza...
tunamuunga mkono JANUARY MAKAMBA kwa nia yake hiyo, na kwamba aendelee hivyo hivyo na sisi tutaendelea kuwaunganisha walimu vijana kote Tanzania kumpigania ili aje asikie kilio chetu cha samaki ambacho machozi yake yamekuwa yanakwenda na maji kwa kipindi kirefu
january makamba ni mzalendo, na...
uwehu wao uko wapi hapa mkuu
VIJANA NA MUSTAKABALI WA TAIFA LETU
Ndugu wajumbe,
Kama Taifa tunapoelekea kwenye Chaguzi za serikali za mitaa na uchaguzi mkuu hapo mwakani, tuna wajibu wa kulikumbusha Taifa na hasa vijana changamoto zinazotukabili na kushauri namna ya kuzitatua.
ndugu...
walimu vijana wanahoja zao za msingi ambazo wamezieleza katika tamko lao na wameona wasiwe nyuma ya muda ni wakati muafaka kuelekea uchaguzi mkuu 2015, kutoa mapendekezo ya rais wanayemtaka kwa mabadiliko katika sekta yao ya ualimu.
Na wewe na sekta yako kama unaona kuna mtu anafaa kuwa rais...
Usipindishe hoja mzee, mbona unapigia sana chapuo utengano? au we ndo mwenye malengo ya kuwagawa watanzania, hoja ya walimu vijana ni hoja ya msingi wao wamependa utumish wa January wamempima wameona anaweza kutatua kero zao lakini wao wanaamini kwa kuwa makamba ni kijana kwa sasa anaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.