Recent content by Shirley

  1. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta trekta

    Kuna jamaa anaenda Malawi anakuja na Massey nzuri na bei yake huwa around 9-12 Million.yeye ni fundi huwa anaenda kununua spares na off-farm tractors.anapatikana mpakani mwa malawi na Tz. Miezi 4 iliyopita alikuwa na Tractor zuri.hali yangu haikuruhusu sikuweza kulichukua. Jamaa anaitwa Chawinga...
Back
Top Bottom