Ikulu ndiko mitaji inakopatikana kwa urahisi. Mbona watu wengi wamepata mitaji kupitia mashirika ya umma lakini hamuwasakami kama mama???? Mama kawatumikia miaka kumi bila mshahara. Sasa kumbe mlitegemea yeye aishije??? Mlitegemea mama akale polisi???
Mpaka kieleweke, kama ulikuwa hujui ngoja nikupe ukweli. Mfuko wa EOTF ni mali halali ya mama Anna Mkapa. Hata kama ilianzishwa ikulu na ikapata wafadhili wa ndani na nje kwa msaada wa serikali na bunge lenu la wabunge makanjanja lakini Anna aliianzisha kwa mtaji wake mwenyewe. Kumbuka mtaji wa...
Wao walie tu. Mama lao Anna ni mjasiriamali kama kawaida ya asili yetu. Sijui wangefurahi kama angetoka ikulu na umasikini wake alioingia nao!???? Loh..mwacheni mama yetu apumzike na ale pensioni yake safi baada ya kazi ngumu aliyoifanya ikulu. Au munamuonea wivu kumiliki hiyo EOTF?.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.