Hii ni aibu ya Mwaka! Karne hii? Aisee Mhe. Umeteleza sana, shughulika na masuala ya msingi achana na hii kitu maana matokeo yake utashindwa badae utaonekana hufai!
Kwa mara ya kwanza leo nimemuona Mama kakasirika, mpaka kawaita watoto wa mjini-Mijitu! Katukana Stupid yaani pumbavu! JPM alishawahi kutukana kuwa '..mambo ya kipumbavu...'
Mkasema ninyi hamjalelewa kufokafoka bali kalamu itaongea-SI-KWA TANZANIA!Mama kaza wabongo noma
Mbona wanaosali Kariakoo hawauawi? Tafakari-Chukua hatua!
Hata yeye Zito, akishirikiana na waarifu anapotea, nampa tu kama inyo na anajua fika kitakachompata!
Hakuna wa kuwavulia viatu waarifu!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.