Wakuu samahan kwa usumbufu Je inawezekana nikahamisha mkopo wangu kutoka bachelor kwenda diploma? Maana nilipata kozi ya bachelor lakin Naona haitanisaidia mbeleni hvyo nahtaji kurudi nianze diploma kwa fani ya Afya Je wanaweza kuuhamisha mkopo wangu kuja diploma??? Nawasilisha Wakuu!.
Msaada jinsi ya kujiunga na chuo cha afya lugalo yan kupata fomu ya kujiunga bila kufanya application online au kama kuna yeyote anasoma hapo naomba msaada wake
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.