Habari za wanaJF?
Mimi ni kijana kitanzania, nipo hapa Dar es Salaam. Baada ya kushughulika na michakato ya maisha, hasa kuweka mikakati mizuri.
Sasa muda wa kuoa ndiyo umefika. Sasa ninahitaji kuoa, kuwa na mwanamke.
Kuhusu kabila mimi sibagui. Ila mwanamke huyo asiwe mpenda maslahi! Mimi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.