Recent content by Shida Masuba

  1. S

    SoC02 Maisha ya Mtanzania kiuchumi Tangu mwaka 2021

    MAISHA YA MTANZANIA KIUCHUMI TANGU MWAKA 2021- Maisha ni jumla ya mambo yanayokuzunguka na uyafanyayo kila iitwapo leo. Maisha yanajumuisha uchumi wa mtu, utamaduni, siasa, teknolojia na kadhalika. Makala haya yanaangazia maisha ya Mtanzania tangu mwaka 2021 na kuendelea yakilenga uchumi...
  2. S

    SoC02 Nafasi ya Kiswahili

    Kiswahili ni nini? Kiswahili ni lugha ya Kibantu yenye asili ya ukanda wa pwani ya bahari ya Hindi katika bara la Afrika. Kiswahili ni lugha yenye mawanda mapana kimatumizi na katika mwendo wake. Lugha hii ina nafasi nyingi kitaifa, kikanda na kiulimwengu. Katika makala haya tutaangazia...
  3. S

    SoC02 Utawala bora

    Asante sana
  4. S

    SoC02 Elimu nchini Tanzania

    ELIMU NCHINI TANZANIA Mwandishi: Shida Masuba 1.0. Fasili ya Elimu Kwa mujibu wa sera ya Elimu na Mafunzo (2010:1) inafasili elimu kuwa ni “mjumuisho wa maarifa na stadi za kujitambua na kukabiliana na changamoto zilizopo katika mazingira na mabadiliko ya kijamii, kisiasa, kiuchumi, kisayansi...
  5. S

    SoC02 Utawala bora

    Shukurani sana
  6. S

    SoC02 Utawala bora

    Utawala ni uongozi ambao unakuwa madarakani katika kipindi fulani, utawala huu unaweza kutokana na kuchaguliwa, kurithi kama ilivyo katika baadhi ya nchi kama Korea Kaskazini ama mapinduzi. utawala bora no utawala unaozingatia misingi ya haki, taratibu na kanuni kwa mujibu wa sheria ambazo nchi...
Back
Top Bottom