A,aleykum warahmatullah wabarakatu naam ndugu zangu na wapenzi wa masomo yangu leo tutaendelea na uchambuzi wetu wa majini na VITIMBWI vyoa na HILA zao ikiwa ni sehemu ya 2 tuanzie hapa
SHWTANI NI NANI?
SHETANI ni ni tabia ya maasi itokanayo na matendo maovu ayafanyayo binadamu ama jinni hivyo...
A,aleykum warahmatullah wabarakatu naam ndugu zangu katika imani na ndugu zangu katika Adam leo ni siku ya jumatano ni siku ambayo hutumia kuelekeza aina ya dawa fulani kwa wenye matatizo fulani.
LEO NAANZA NA MAMA ZANGU WAJAWAZITO
Wapo mama zetu au dada zetu ambao wanaposhika tu ujauzito...
A,aleykum warahmatullah wabarakatu naam kwa wale wafuatiliaji wa darsa zangu nadhani hawatakuwa na ugeni na namna ambavyo ninavyowachambua Majini na Wachawi lakini pia habari kuhusu Nyota,Ndoto n.k leo naendelea kuzungumzia vitimbwi vya majini na hila zao
KUNA AINA NGAPI ZA MAJINI
Kimsingi...
A,aleykum warahmatullah wabarakatu inshaallah tunaendelea na mfululizo wa kuchambua na kuangalia baadhi ya nyota na tabia zake.Hapa tunaangalia watu wenye nyota hizo wanatabia gani katika mapenzi tuendelee
(1)SIMBA mwenye nyota hii huwa na tabia hizi katika mapenzi.Kujitanua ,ukarimu na ulezi...
A,aleykum warahmatullah wabarakatu naam ni yule yule Shekhe Khassani Makarama bingwa wa kutafsiri ndoto na kutabiri nyota sasa anawaalika wale wote wenye kutaka kujua nyota zao na maana ya ndoto zao karibuni
Kwa mawasiliano piga 0656228832
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.