Wadau, kwa kama miezi miwili sasa nikijaribu ku scan barcode ya hati yangu iliyotolewa na ardhi inagoma kuniletea taarifa za hati.
Je, ni kuwa website ya verification ya documents ya ardhi kweli ina matatizo au wajanja washachakachua?
Mwaka jana nilikuwa niki-scan inaniletea copy ya hati husika.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.