Recent content by sheikh Mvita

  1. S

    Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

    Mshana Jr mbona mambo ya kawaida hayo. Sio picha tu, hata ukisikiliza miziki uliyowahi kusikiza kama miaka mitano nyuma utajiwa na kumbukizi nyingi za matokeo yaliyo kutokea wewe au watu uliokuwa nao wakati huo na kuakisi hali halisi ya sasa
  2. S

    Ukweli ni kitu gani?

    Ukweli ni kule mtu kujiaminisha kua asemalo au analo liamini kuwa ni Ukweli na akawa na uwezo wa kutetea analolisema au kuliamini kwa hoja madhubuti zitakazo weza waaminisha wanaomfuata au kumsikiza kuwa asemayo ni kweli tupu. Sent from my OPPO A57 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom