Guys yaani mifumo ya ajira za watz mbona kama zina watu frani tu..... yaani juzi tumeenda utumishi dar tumejibiwa utadhani ni wakimbizi.... yaani mtu akiisha kuajiriwa basi kuwahudumia wenzake inakuwa kero kwake....... Heeeeh Mora tupe yaliyo yako
Mi naona replay ziko tofauti sana yaan ukiona mtu anakosoa kosoa post kama izi ujue ana kazi tayari yaani hana shida ila masikini sisi..... Heeeeh Mungu ona na hili.
Mkuu kama ulifanikiwa niambie nami niende maana huu utaratibu wao unasumbua saaana yaani mpaka unajiona hujasomaa.... yaan natam niupload na receipt za malipo ya ada ili waakikishe nimesoma kweli
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.