nyumba inauzwa yenye kiwanja cha ukubwa wa 625 m2. Ipo ilala bungoni karibu na ccm (panandipanandi) na hotel ya beriego. Bei ni tshs. 450 mil. ina eneo kubwa la wazi (open area) mbele ya nyumba, nzuri kwa parking. wasiliana nami kwa namba hii: 0715416096
Wakati kwa baadhi ya nchi za wenzetu uongozi unaonekana ni dhamana nzito inayowafanya hata wengine kutoitamani lakini kwa nchi nyingi za Afrika na hasa Tanzania uongozi hasa nafasi ya Uwaziri inaonekana kutafutwa kwa udi na uvumba, wengine wakijaribu kutumia rushwa na ushirikina kama...
Vijana wanapotumika na wanasiasa kama ngazi kwao kupata umaarufu. Nina mashaka ya huyo alepasuliwa jicho hana hata kadi ya uanachama CDM. Ni moja ya wahuni waliokodiwa kufanya fujo mahakamani ili kuonyesha Zzk anakubalika zaidi. Vijana amkeni!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.