Hilo tatzo nlikutana nalo mwaka huu ilipimwa bila shida kuonekana, nilinunua plugs nkajaza mfuko maana kila ukienda kwa mafundi wanadai plugs unanunua tu, engine ilibomolewa mara mbili bila tatzo kuisha, mwisho wasiku nikagundua tatzo mimi mwenyewe kuwa waya wa crankshaft sensor ulikuwa...
Probablly hapo ni Fuel Pump kwenye kukosa nguvu inapopata moto haipamp mafuta yakutosha ndomana ukizima ikapoa inagain power,
Kwenye kipengele cha kuwasha taa ya handbreak chunguza kama ujazo wa break fluid kama ipo kwenye maximum level,endapo yamepungua ongeza tatzo litaisha na kama yapo level...
Kama plug za gari yako hazipati unyevu wa petrol au engine oil,
Badili fuel pressure control sensor, then exhaust yote ifunguliwe ipasuliewa nakutolewa catalytic converter alaf uchomwe vizuri nakufungwa kwenye gari....utaleta majibu...believe me.
Kama plug za gari yako hazipati unyevu wa petrol au engine oil,
Badili fuel pressure control sensor, then exaust yote ifunguliwe ipasuliewa nakutolewa catalytic vonverter alaf uchomwe vizuri nakufungwa kwenye gari....utaleta majibu...believe me.
Yaan unapiga jino mfululizo bila kuacha baada ya dakika ndoinawaka kwa speed ndogo then baada ya sekunde kadhaa ndipo inajipandisha kwenye speed ya kawaida
Kwema wakuuu.
Gari yangu ni toyota corsa tatizo ni kuchelewa kuwaka asubuhi au ukiipaki kwa muda mrefu,nimefanya engine overhal, nmebadili plug, nmebadili, idle control valve lakini hakuna badiliko, msaada wenu plz?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.