Recent content by sharafu

  1. S

    JamiiForums Tanzania Namba msaada wa namna ya kufanya booking ya ndege: Air Tanzania au Precision Air

    Admin rekebisha title: weka Naomba badala ya Namba Air Lupalu atcl
  2. S

    JamiiForums Tanzania Namba msaada wa namna ya kufanya booking ya ndege: Air Tanzania au Precision Air

    Naombeni msaada wa namna ya kufanya Booking ya ndege : Precision Air au ATCL, Sababu baada ya kuchagua tarehe ya safari wakati wa kufanya Booking sioni sehemu ya kubonyeza ili niende katika hatua inayofuata.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mchango wa sherehe ya kumaliza Masters itakayofanyika ukumbini. Nini maoni yako kuhusu uchangishaji wa sherehe za namna hii?

    Huwa nachangia ishu za msingi zikiwemo shida na matatzo
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mchango wa sherehe ya kumaliza Masters itakayofanyika ukumbini. Nini maoni yako kuhusu uchangishaji wa sherehe za namna hii?

    Mbona matusi tena, hukulelewa kudumu na tabia njema. It seems akili zako waruwaru, no reasoning!!
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mchango wa sherehe ya kumaliza Masters itakayofanyika ukumbini. Nini maoni yako kuhusu uchangishaji wa sherehe za namna hii?

    Unajionaje kuchangisha sherehe za namna hiyo ikiwemo birthday. Kwa nini kama kama unazipenda sana hizo sherehe, why usijipange mwenyewe then ukafanya ukaribisho tu kwa watu kuhudhuria, ili atayepata nafasi afike atayekosa basi. Kuliko ukose hiyo michango kwa watu wasioona umuhimu wa vitu hivyo...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Mchango wa sherehe ya kumaliza Masters itakayofanyika ukumbini. Nini maoni yako kuhusu uchangishaji wa sherehe za namna hii?

    Kwamba ninayo ila sioni umuhimu wa kuchangia sherehe ya aina hiyo.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mchango wa sherehe ya kumaliza Masters itakayofanyika ukumbini. Nini maoni yako kuhusu uchangishaji wa sherehe za namna hii?

    Hajatajwa mtu hapa ndugu. Kumdhalilisha mtu ni kumtaja au kuweka picha yake hapa.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mchango wa sherehe ya kumaliza Masters itakayofanyika ukumbini. Nini maoni yako kuhusu uchangishaji wa sherehe za namna hii?

    Hatari, nliwah mkopesha mtu aongezee katka mahari yake, akaingia mitini na pesa yangu. Ngawa na ndoa haikudumu
  9. S

    JamiiForums Tanzania Mchango wa sherehe ya kumaliza Masters itakayofanyika ukumbini. Nini maoni yako kuhusu uchangishaji wa sherehe za namna hii?

    Je nkiwa nayo ila nkamwambia sioni umuhimu wa hiyo sherehe?
  10. S

    JamiiForums Tanzania Mchango wa sherehe ya kumaliza Masters itakayofanyika ukumbini. Nini maoni yako kuhusu uchangishaji wa sherehe za namna hii?

    We nae ndo wale wale wa kuchangisha michango ya birthday
Back
Top Bottom