Recent content by shanja

  1. S

    Kilimo, soko na faida za Uyoga

    Thank Nguto nimekuelewa nipo katika utafiti ila nikipata wadau husika watanisaidia zaidi na pia mawazo ya wana jamii pia yatanisaidia
  2. S

    Kilimo, soko na faida za Uyoga

    wadau nasikia biashara ya uyoga inalipa sana. Naomba kufahamishwa yafuatayo:- Ni kweli kuwa ni biashara nzuri? Je marketing yake ipo wapi na ni namna gani inafanywa? Anae jihusisha na hio biashara inatakiwa bora alime mwenyewe ama tu hata kufuata kwa wale wanao lima hilo zao? Ni wapi hasa...
Back
Top Bottom