Recent content by shamsanadventure

  1. S

    JamiiForums Tanzania Forex ni kitu cha kweli au udanganyifu tu na kupigwa hela?

    watu wanakuwa na iman kubwa kweny fx kuliko uhalisia wenyew mtu ukijiuliza tu kwamba fx ndyo biashara yenye mzunguko mkubwa na inalipa . sasa kwanin matajiri top ten dunian wasiwe ni fx traders? yani fx ingekuwa na uwezo wa kukulipa hata asilimia mia ya pesa yako kwa mwaka bas hta tajir namba...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua namna ya kufanya analysis za Forex

    Broh sijui kwakweli lakini forex ni kupoteza muda sana na watu wengi wanapata hela kwa kuuza services either signal au cousre lakini kupata fedha kwenye soko uongo mzee na wengi wanaamin fx ina hela kwa kuaminishwa na mentor lakini ukimuuliza mtu onyesha account history atazunguka mara sina...
Back
Top Bottom