Recent content by Shamili benedicto

  1. Shamili benedicto

    Naweza fanya kazi ya aina Gani baada ya kusomea IT?

    Shukran sana ndugu yangu ila sasa hapo kwenye kuanza tena veta sijakupa vizuri kuna umuhimu Gani wakuanza veta mana Nina F moja tu ya matheF, History C kiswahili C, biosD,geogD,englishD Na civicsD kuna ulazima wa kuanza tena kukwenda veta?
  2. Shamili benedicto

    Naweza fanya kazi ya aina Gani baada ya kusomea IT?

    Habar zenu jamani mi ni mgeni humu ndan nina shauku ya kujua kuwa naweza fanya kazi ya aina gani baada ya kusomea it?. Na pia kama nilisoma mchepuo wa arts o- level na mathematics nilifeli je yawezekana kusomea hiyo koz?
Back
Top Bottom