Baba Askofu Mwamakula!
Wabunge waliitishwa kikao kupewa maelekezo ya kuwa wakati wa kuchangia Hotuba ya Rais, wasigusie kabisa mambo ya mauaji ya halaiki ya Watanzania wasio na hatia ya tarehe 29 - 31 Oktoba 2025.
Waliambiwa kuwa wachangie kwenye mambo ya kimaendeleo. Waseme mambo aliyoyafanya...
Mzee Gafalafa ameonya Shemsa Mohamed kuvuruga siasa za Mkoa wa Simiyu, amtetea Mpina
Naandika ujumbe huu kwa masikito makubwa juu ya Kauli zako ulizozitoa kwenye mkutano wa ndani wa viongozi wa CCM pale Tarafani Kanadi Wilaya ya Itilima siku ya Tarehe 25.4.2024 kuhusu Luhaga Mpina, Mbunge wa...
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ameshiriki hafla ya kuwasilisha taarifa 4 Jan 2022 ya utekelezaji wa matumizi ya fedha za maendeleo kwa ustawi wa Taifa na mapambano dhidi ya UVIKO - 19 Ikulu jijini Dar es salaam.
Unfortunately sijajua tunataka wabunge wa aina gani - nilisifia hizi kanuni mpya za chama upande mmoja kuwa imeongeza watu wengi kupiga kura na kupunguza rushwa ila nikaonyesha hatari ya utaratibu wa kurudisha majina matatu inaweza italeta shida sana kwa wale wabunge wanaosimamia haki za jamii...
Hoja zilizoibuliwa na Mbunge Luhaga Mpina zimekosa majibu hadi Bunge na Baraza la Mawaziri limevunjwa, je watanzania wafanye nini ili kupata majibu ya hoja hizo.
nazikumbuka hoja chache za Mpina ambazo hazijapata majibu hadi sasa.
1. Hoja Kwanini Wizara ya Kilimo ilitengeneza uhaba wa sukari...
Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amehoji kuhusu watoa huduma za afya katika hospitali za serikali kuwatoza fedha wanawake wajawazito na watoto chini ya miaka mitano, kinyume cha sheria na kuhoji waliruhusiwa na nani kufanya hayo?
Swali hilo limejibiwa na Naibu Waziri wa Afya, Godwin Mollel...
KIJANA Mzalendo, David Nkindikwa ameitaka Mamlaka inayohusika kuchunguza uraia wa Waziri Hussein Bashe akidai kuwa Chama cha Mapinduzi Mwaka 2010 kilimkata jina lake kwa tuhuma za kutokuwa raia wa Tanzania..
Sikiliza kwa makini Clip hii Kijana Mzalendo ameongea mambo mengi machafu kuhusu Bashe...
CHAMA Cha MAPINDUZI kimetangaza kuanza mchakato wa uchukuaji fomu za Ubunge lakini kwenye tangazo hilo sijaona fomu ya Ubunge ni shilingi ngapi? au mimi sikulisoma vizuri hilo tangazo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.