Recent content by Shakahola

  1. Shakahola

    JamiiForums Tanzania Maono ya kuanzisha na kumiliki shule ya Awali na Msingi

    - Nimejaribu kufatilia mahitaji ya eneo kuanzisha shule ni ekari 3, na kwa maeneo niliyopo heka Moja naweza pata kwa 20M sasa namna ya kukusanya hiyo pesa ndio changamoto kwangu au nitumiale mkakati gani kuweza kuipata
  2. Shakahola

    JamiiForums Tanzania Maono ya kuanzisha na kumiliki shule ya Awali na Msingi

    Kwa halmasshauri niliona tangazo lao hawajaweka miradi ya elimu Kama shule
  3. Shakahola

    JamiiForums Tanzania Maono ya kuanzisha na kumiliki shule ya Awali na Msingi

    Habari, Kwa muda sasa tangu nimehitimu chuo Kikuu nimekuwa na ndoto ya kuanzisha na kumiliki shule ya Awali na Msingi japo kuwa tangu nimalize chuo mwaka 2018 sijafanikiwa kupata ajira hivyo nimekuwa nikijiajiri mwenyewe kupitia kituo Cha Masomo ya ziada ( Tuition Center) na Chekechea. Je Kuna...
Back
Top Bottom