Recent content by shaidy

  1. S

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu bei ya Maturubai

    Habari wadau na wananzengo wote naomba kujua bei ya maturubai used ya magari kama fuso hv au canter tafadhar
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mashine nzuri ya kuosha magari

    Habari wadau, pole na mihangaiko nafikilia kuanzisha biashara ya car wash japo inachangamoto kwani umekuwa nyingi na bei imeshuka ila ntakomaa naomba ushauri kwa wenye uzoefu wa kazi hyo 1. Changamoto zake 2.mashine yenye ukubwa gani na bei yake 3.vitu vya kuzingatia kwenye huduma hiyoo Naomba...
Back
Top Bottom