Mimi sio mwanasiasa bali ni mtumishi hapa Mbeya. Nimekuja mbeya sasa ni mwaka wa 4. Kuna jambo linaendelea mbeya na wao hawataki kulikemea.
Mkoa wa Mbeya wasipoangalia kufikia mwaka 2025 watatawaliwa na wanyakyusa. Nikupe takwimu Mbunge wa Chunya, Kyela, Rungwe na Busokelo ni Wanyakyusa. Mbeya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.