Recent content by Shaddie Kikoti

  1. Shaddie Kikoti

    Bima ya Afya Tanzania: Kampuni bora na zenye changamoto katika kuhudumia wateja wake

    Huduma zao poa sana , ila Gharama sina recent update , Wacheck +255 784 107 700 / +255 022 550 8300
  2. Shaddie Kikoti

    Bima ya Afya Tanzania: Kampuni bora na zenye changamoto katika kuhudumia wateja wake

    AAR Nilitaka Recomend AAR, sababu ndo bima nayotumia muda mrefu, na so far so good, ila kwa rate hizi na yanayosemwa kuwa NHIF wamekuwa bora zaid, nadhani wajaribu, na ulete mrejesho.
  3. Shaddie Kikoti

    Maneno: Silaha kubwa ya Mwanamke na jinsi inavyochangia Ukatili Majumbani "Domestic Violence" wakati ingeweza kutumika otherwise

    Kuna Mjadala mkali sana Unaendelea twitter, kuhusu domestic violence. Ukihusisha watu wa kawaida, celebrities, Twitter influencers wadau wa haki za wanawake "Feminist" nchini Tanzania. Mjadala umechagizwa zaidi na video ya mdau mmoja, ambaye alionekana akimpiga vibaya mke wake, ni mtu ambae...
Back
Top Bottom