Recent content by Shabby kng

  1. S

    Kama hujaona taarifa zako za mkopo niulize nikusaidie

    mimi evelyne mosha namba yangu ni s0224/0030/1994 naomba mniangalizie maana kampala university bado hawajatoa majina
  2. S

    Admission letter Kampala University!

    Habari wana JF Mimi nimechaguliwa kujiunga na chuo cha Kampala Dar sasa nilikua naomba kujua kuhusu admission letter yaani joining instruction maana kwenye website haipo na sijatumiwa kwenye email yangu sasa nifanyeje maana kazin ili nipate ruhusa wameniambia mpaka joining ndo napewa ruhusa.
  3. S

    Tovuti ya TCU iko hewani sasa

    bado et ni in progress wakati nmeshapata kiu hao wanautaniiiiiiiiiiiiiiiiiiii
  4. S

    Majina ya waliochaguliwa Kampala International University

    Below is the list of students selected to join KIU Dar es Salaam College for those applicants who applied to KIU through central Admission System (Click the item to view the list) Business and Management Medicine Medical Laboratory Science Pharmacy Computer Studies...
  5. S

    Uteuzi Wanafunzi wa vyuo Vikuu hadi Sept 22 -TCU

    acha mambo ya kitoto sio kila kitu kuanza kudanganya watu acha kutuchezea
  6. S

    Ntapata wapi joining instruction ya chuo kikuu nilichochaguliwa

    sawa mkubwa nimekuelewa nitaiita admission letter umenifungua
  7. S

    Ntapata wapi joining instruction ya chuo kikuu nilichochaguliwa

    Umeona eeh uo ndo utaratibu wa kumwelekeza mtu maana hili jukwaa ni kwa ajili ya kufunguana vichwa na kuelekezana
  8. S

    Ntapata wapi joining instruction ya chuo kikuu nilichochaguliwa

    majibu yako hayana busara maana kama kitu sikijui ni vizuri kunielekeza ndo ubinadamu kama nimekukwaza kwenye hiyo post yangu basi nisamehe mkubwa maana sipendi malumbano na mtu
  9. S

    Kuhusu Chuo Kikuu cha Kampala Dar es Salaam

    nikupiga shule kwa bidii wanaosema gpa za kutosha wapite mbele na ushuhuda
  10. S

    Ntapata wapi joining instruction ya chuo kikuu nilichochaguliwa

    Habarini wana jamii forum mimi nauluza kuhusu hizi joining instruction za chuo baada ya kua selected je unatumiwa kwenye email yako au utaipata wapi na je huwa zinakawia sana au saelection zikitoka na zenyewe zinatoka hapohapo
  11. S

    Kuhusu Chuo Kikuu cha Kampala Dar es Salaam

    wanaokiponda ni wale wanaojiona wako deep na chuo chao cha udsm wakati wapo kitaa udsm wengi wamasugua rami acheni kudharau vyuo mandeziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
  12. S

    Uteuzi Wanafunzi wa vyuo Vikuu hadi Sept 22 -TCU

    tayari hata mimi nimeandikiwa ivo
  13. S

    TCU bado wanapokea maombi ya kujiunga na chuo?

    mwisho ilikua tarehe 15/9 sasa ivi sikjui ebu subiri watu waje watoe michango
  14. S

    Kuhusu Chuo Kikuu cha Kampala Dar es Salaam

    kuna watu mnapenda sana kudharau vyuo vingine mbona kuna waliosoma udsm wapo mtaani wanasugua rami kutafuta kazi mchana kutwa na bado wanapigwa fimbo na vyuo vingine sa hivi watu wanaangalia uchapa kazi sio kujivuna eti kisa umetoka udsm
  15. S

    Kuhusu Chuo Kikuu cha Kampala Dar es Salaam

    mkuu asante kwa ushauri wako wenye akili
Back
Top Bottom