Recent content by shabanijuma

  1. S

    Muhimu kwa mustakabali wa afya yako soma !!!

    MUHIMU KWA MUSTAKABALI WA AFYA YAKO SOMA !!! Azam company ni kampuni inayorisha Watanzania na nchi nyingi kusini mwa jangwa la Sahara. Mzee wetu huyu amekuwa msaada mkubwa kwa Watanzania na nchi jirani zinazotuzunguka kupitia huduma mbali mbali anazotoa kuanzia usafiri wa majini, vyakula hata...
  2. S

    TANESCO wamekata Umeme sehemu kubwa ya Nchi ya Tanzania, leo 29th Aug 2015

    poleni sana watanzania wenzangu mimi nipo hapa jijini Maputo,mozambique napata matangazo kutoka jangwan vizuri tu CCM wangekuwa na uwezo hata chaji za kwenye sim zenu wangezimaliza
  3. S

    KAFULILA AWALIPUA JK na WARIOBA

    HOT MIX Na Kilawa the Iron Akihojiwa kwenye kipindi cha Hot mix ndani ya EA TV kuhusu uamuzi wa Warioba na baadhi ya viongozi wanaojipambanua kama wazalendo kuzunguka nchi nzima kumpinga Lowasa kuhusu ufisadi husan wa richmond , mbunge huyo alijibu; "Kwanza watanzania waelewe kwamba kabla...
  4. S

    Yaliyojiri Mkutano wa Edward Lowassa na wanawake wa DSM kutoka Ukumbi wa Millenium Tower

    Mwambieni mheshimiwa hivi kila anapofika makao makuu ya mkoa afanye mkutano na wanawake mama ntilie, wafanya usafi wa miji, wafanyakazi wa ndani, wanawake wajasiriamali mbalimbali, nk. Make asilimia kubwa ya hili kundi huwa ni vigumu kuhudhuria kampeni za viwanjani, walishajazwa uoga kuwa...
  5. S

Back
Top Bottom