Tatizo lenyewe ni dogo Zito analikuza kiasi hiki hivi huyu Zito haoni haya hayo mambo yao ya kutaka kuivuruga nchi watu wengi wanafahamu mimi sioni ajabu dharau ya huyu mzee CAG ilipangwa ili waje wanzishe chokochoko wangapi wamehojiwa na bunge na hatukuona matatizo huyu sio mzalendo
Zito anatafuta kiki kwa shida walizonazo watu tunajua kiongozi ni mpambanaji mkuu katika kupunguza ukali wa maisha sio kutangaza shida za wananchi kwa kutafuta umaarufu kumbuka hamna kongozi ambaye atamaliza shida zote za wananchi mhimu ni kuwakumbusha wananchi wapambane kwa kufanya kazi kwa...
Tatizo hawa viongozi vijana wengi hekima hawana huwezi ukaitisha mkutano wa kumkosoa mkuu wa nchi kwa kumdhalilisha na kumtukana halafu wakuache wengi imetuuma sana kama ingelikuwa wakati wa utawala wa Nyerere kwa basi ungewekwa kizuizini muda mrefu ama ingekuwa Rwanda wasingemwachia
Huyo jamaa anaombea tuwe kama somalia walikotokea mababu zake jadi yao kama hawajaona damu ya binadamu inamwagika hawalidhiki watafanya kila njia ili imwagike lakini Tanzania haitatokea
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.