Wanasahau hata lile tukio la kumkamata ester bulaya na kumpakiza ndege mpaka dar Lisa upuuzi upuuz tu.
Mimi sio bongo lala sidanganywi na makada kama huyo mtoa habar hapo
Safi saana. Jombaa yani mtu kaongea ukweli wanasema ana matamshi ya uchochezi.
Sijui nani kawatuma waendelee kutuweka gizani,
hatuwezi kuukataa ukweli na kuukubali uongo wa huyu msifia mvua.
Alie kutuma uwadanganye watz kuwa askar wetu wanatumia nguvu kiasi ni nani?
Huyu mzalendo ulimwengu katamba kwa lipi jamani?
kaja na hoja ya msingi na sisi kama watz tumemuelewa, ila wewe kama unataka akamatwe au auawe sema humu ili tuifahamu nia yako maana unaonekana una mawazo ya kutaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.