Recent content by ShaB Financial Services

  1. S

    Business consultant needed

    Anatakiwa kijana aliyemaliza chuo ngazi ya degree. Awe na ujuzi wa kusajiri majina ya biashara na Kampuni,kutoa ushauri wa kibiashara, kufuatilia leseni za Biashara nk. Akiwa Arusha itapendeza zaidi. anaweza kupiga simu no +255 27 2976666
  2. S

    law graduate

    Anahitajika kijana aliyemaliza degree ya SHERIA. Umri usiwe zaidi ya miaka 30 awe mkazi wa Arusha.
  3. S

    Kampuni ya Kukopesha

    kwanza utatakiwa kuwa na jina la biashara au kampuni ambayo mwisho lazima iwe na finacial services,microfinance,micro credit na vitu kama hivyo. 2. uwe na kielelezo cha mtaji wako ambao sio wa mkopo usiopungua milioni 20. 3. Utaenda BOT Kanda uliyopo utapewa formu yenye mahitaji muhumu kama...
  4. S

    Nimekosa ajira za TRA, wenye fursa mahali pengine anisaidie

    kuna nafasi ya intern ARUSHA SHAB FINANCIAL SERVICES EXPRESS. TUMA CV YAKO info@shabfinance.co.tz
  5. S

    stationery

    anatafutwa kijana wa kufanya kazi ya stationery ARUSHA. Awe na Elimu kuanzia kidato cha nne,ujuzi wa computer, graphics. tuma cv yako kwa no 0782396666
  6. S

    Nina shahada ya sheria, natafuta kazi.

    piga 027 2976667 jumatatu hadi jumamosi kuanzia saa 2 asubuhi hadi saa 12 jioni
  7. S

    Anatafuta kazi

    loan officer nafasi iko Arusha. piga muda wa kazi kuanzia kesho 0272976667. all the best
  8. S

    Binti 24yrs anatafuta kazi yupo Moshi

    anaweza fanya kazi Arusha kama AFISA MIKOPO? IF YES APIGE SIMU +255 272976667
  9. S

    Anatafutwa afisa Mikopo

    Anahitajika kijana wa kiume au wa Kike. umri 20 to 25 yrs Eneo la kazi : Arusha Elimu: degree ya masoko au sheria hakuna uzoefu unaohitajika. Mawasiliano: 0782396666
  10. S

    Mficha maradhi kifo humuumbua!

    kuna nafasi ya intern LOAN OFFICER SHAB FINANCIAL SERVICES, ARUSHA. Unaweza piga 0272976666
  11. S

    Maombi ya kazi

    uko wapi? unaweza fanya kazi Arusha? kama ndiyo utapiga simu +255272976666 muda wa kazi tafadhali.
  12. S

    Nafasi ya intership

    Shab Financial services Express inatafuta Afisa mikopo aliyeko Arusha. Awe amesoma sheria, masoko ngazi ya degree. atakayekuwa tayari apige simu namba +255 272976666 kwa maelezo zaidi.
Back
Top Bottom