Recent content by SGS AGENCY

  1. SGS AGENCY

    JamiiForums Tanzania Yanayofichwa ni haya: Wabongo walioletwa kutoka S.Africa wengi ni vichaa na mateja

    At least itakuwa wanatuzidi kuongea kiingereza 😄😄
  2. SGS AGENCY

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mume wa Rais Samia, Hafidh Ameir, afariki Dunia

    إنا لله و إنا إليه راجعون. Pole sana mheshimiwa Rais. Pole sana mheshimiwa Wanu Hafidh Ameir. Pole sana familia yote ya marehemu mzee Hafidh Ameir Hassan. Pole sana Wana Kizimkazi. Pole sana Wazanzibari wote. Na pole sana watanzania wote. MSIBA WA MHESHIMIWA RAIS NI MSIBA WETU.
  3. SGS AGENCY

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mume wa Rais Samia, Hafidh Ameir, afariki Dunia

    إ إنا لله وإنا إليه راجعون
  4. SGS AGENCY

    JamiiForums Tanzania Asali ya Unga ni suluhisho la magonjwa mengi

    ASALI YA UNGA ni mchanganyiko wa asali ya nyuki na mimea na iko katika mfumo wa unga kama vile uonavyo maziwa ya unga japo hii rangi yake ni kijani ambayo haijakolea. Ladha yake ni tamu kama glucose hivyo haijatiwa ndani yake sukari ya aina yoyote.
  5. SGS AGENCY

    JamiiForums Tanzania Asali ya Unga ni suluhisho la magonjwa mengi

    Tunapatikana makutano ya barabara ya Shaban Robert na Mafuta Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro. Kwa walio mbali na Moshi tunatuma kwa njia ya mabasi na posta kwa gharama za mteja.
  6. SGS AGENCY

    JamiiForums Tanzania Asali ya Unga ni suluhisho la magonjwa mengi

    Kopo kubwa gm 110 ni tsh 12,000/= Na kopo dogo gm ni tsh 7,000/= Karibu sana.
  7. SGS AGENCY

    JamiiForums Tanzania Asali ya Unga ni suluhisho la magonjwa mengi

    IJUE ASALI YA UNGA ( POWDERED HONEY) Dawa ya asili yenye maajabu ya kipekee. Ni dawa iliyotengenezwa kwa mchanganyiko wa ASALI NA MIMEA (mitishamba au mimea tiba ) NI dawa ambayo imeonyesha mafanikio makubwa kwa kutibu maradhi mbalimbali kama vile: 1.Maumivu ya kichwa , mgongo, kiuno , magoti...
  8. SGS AGENCY

    JamiiForums Tanzania Soko la mbuzi & kondoo kwa msimu wa sikukuu ya Eid Al- Adh- Haa

    Mbuzi wa bei ya juu sana NI TSH 330,000/= bei ya kuuza. Na wa bei ya chini sana ni TSH 130,000/= bei ya kuuza. Cha kuzingatia kwa huyo wa bei ya chini NI Kwamba ana umri zaidi ya mwaka mmoja kama sheria inavyotaka kwa mbuzi wa Udh-hiya.
  9. SGS AGENCY

    JamiiForums Tanzania Soko la mbuzi & kondoo kwa msimu wa sikukuu ya Eid Al- Adh- Haa

    Allaahumma Aammiyn.
  10. SGS AGENCY

    JamiiForums Tanzania SOKO LA MBUZI & KONDO KWA MSIMU WA SIKUKUU YA EID AL- ADH- HAA.

    Habari za muda huu wanajukwaa. Wakazi wa manispaa ya Moshi na viunga vyake mnakaribishwa sana kununua mbuzi na kondoo kwa ajili ya sikukuu ya Eid Al- Adh-haa ambayo inatarajiwa kufika ndani ya siku chache zijazo. Moja ya ibada kubwa katika kusherehekea sikukuu ya Eid Al- Adh-haa ni kuchinja...
  11. SGS AGENCY

Back
Top Bottom