Recent content by Settings2024

  1. S

    Msaada: Namna ya kufanya Docomo s10 Plus kusoma samsung s10 Plus inapowaka badala ya Docomo

    n nashukuru sana kwa iyo ushauri japo naoma kama ina shida hivi cwezi kuswipe up ili nipate apps... kama simu zingine
  2. S

    Msaada: Namna ya kufanya Docomo s10 Plus kusoma samsung s10 Plus inapowaka badala ya Docomo

    mkuu me co mtaalamu sana wa ufundi wa simu kama naweza badilisha os manake naenda kwa fundi afanye ivo... vp kuhusu usalama wake haitaleta shida badae labda ya network ndg
  3. S

    Msaada: Namna ya kufanya Docomo s10 Plus kusoma samsung s10 Plus inapowaka badala ya Docomo

    Wakuu habari za mida! Nilinunua simu mkoa wa kigoma nikizani nmenunua samsung galaxy s10 plus... kumbe nmenunua docomo s10 plus sasa kinachonikera ni kuona ikiwaka inaonesha logo ya docomo bafala ya samsung inaonesha
Back
Top Bottom