Recent content by seth rollens

  1. S

    Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    Ushapata jibu?! Kama ujapata ni dm Ila nijua 5.1 ya 2022 Sasa hivi Wenda wameongeza tena
  2. S

    Usahili wa Tutorial Assistants katika sekta ya Elimu

    Yeah iyoo najua Ila nataka kujua figure ni ngapi? Yaani ni kiasi gani Kama ni 1.2m mpanka 1.5 au 1m mpank 2 ND nataka figure kamili kbsa mkuu
  3. S

    Usahili wa Tutorial Assistants katika sekta ya Elimu

    Mkuu vipi kwa university ,unaanza na ngapi? Naona wengi ni puts 1:1 Je kwa vyuo vya kati ni ngapi?!! Nataka nicompare ,maana hizo job nazipenda kweli,Ila kwa Sasa nafanya za administrative ofisini.
  4. S

    Direct Sales Staff (300 Positions) at NMB Bank September, 2024

    Haaa,I am sorry Tayari nishakupenda,siwezi ishi bila wewe hahaha
  5. S

    Direct Sales Staff (300 Positions) at NMB Bank September, 2024

    Maana wamenipigia hapa,lkn sijafanya written youote
  6. S

    Direct Sales Staff (300 Positions) at NMB Bank September, 2024

    Oyaa mkuu vipi?! Oral wanauliza maswali yapi?!! Yaani kuhusu post ulio omba au yanaysu nmb
  7. S

    Direct Sales Staff (300 Positions) at NMB Bank September, 2024

    Hapana na Mimi ND pananichanganya hapo
  8. S

    Direct Sales Staff (300 Positions) at NMB Bank September, 2024

    Naomba nielekeze Kama iyo sehemu ipo au wanatumia CV na letter basi
  9. S

    Direct Sales Staff (300 Positions) at NMB Bank September, 2024

    Mkuu vipi?! Kule kwenye link yao ,Kuna sehemu ya kuambatanisha vyeti ?!! Maan nimekosa sehemu iyo labda nimeona CV na cover letter ,nipo naaply kazi
  10. S

    Dalali wa Vyumba au Nyumba maeneo ya kuanzia Mbuyuni hadi Tegeta

    Yeah mkuu,namba nimeipata nitakuchek broo
  11. S

    Dalali wa Vyumba au Nyumba maeneo ya kuanzia Mbuyuni hadi Tegeta

    Mkuu vipi namba yako naipataje?!! Naitaji chumba chumba master na sebule .nipo tegeta kwa ndevu Naitaji mwezii wa pili
Back
Top Bottom