Recent content by Sessan Msafiri

  1. Sessan Msafiri

    Ufugaji nyuki wa kisasa

    Mizinga ipo ya bei tofauti tofauti, ukinunua Mizinga yetu nyuki tunatoa kama huduma. Ila usiponunua Mizinga yetu, Tunauza Makundi ya Nyuki Tshs.30,000/=. Mizinga ipo ya; A. 75,000/= B. 120,000/= C. 150,000/= D. 180,000/= Tofauti ni idadi ya Mazao ambayo utavuna kwani kuna vifaa mbalimbali...
  2. Sessan Msafiri

    Ufugaji nyuki wa kisasa

    Ahsante sana. Napenda kukutaarifa kuwa Shirika la PRA Tanzania ni wanunuzi wakubwa wa Mazao yote ya Nyuki. Katika Mazao yote, Sumu ya nyuki ndilo zao lenye thamani ya juu sana. Kwasasa tuna Miradi katika Mikoa kama Tanga, Singida, Arusha, Mara etc. Kazi yetu kubwa ni kuhakikisha Watanzania...
  3. Sessan Msafiri

    Ufugaji nyuki wa kisasa

    Ahsante kwa jibu zuri, Mambo matatu ya muhimu; 1. Sisi tukikupatia Mzinga, tunakupatia na nyuki wake. Ilikuondoa tatizo la Ukosefu ma Makundi ya nyuki kwenye Mizinga iliyopo shambani. 2. Kuwepo na kila kitu shambani sio sababu tosha ya kasi ya ugawaji wa makundi, pamoja na mambo yote elimu...
  4. Sessan Msafiri

    Ufugaji nyuki wa kisasa

    Ahsante, 1. Matumizi ya Chavua na Jeli ya Kufalme ni mengi sana katika afya za binadamu, jama kinga na tiba ya magonjwa mengi sana. Mada hii nitaiongelea baadae. 2. Ni muhimu sana Kutambua aina ya miti na aina ya maua yanayopatikana eneo husika. Utatakiwa kujua Msimu wa hio miti kutoa maua ili...
  5. Sessan Msafiri

    Ufugaji nyuki wa kisasa

    Je unafahamu kuwa mdudu nyuki anaweza kukupatia mazao zaidi ya 7 kutoka kwenye Mzinga mmoja tu wa kibiashara? Ndiyo, Shirika la kitaaluma linalojulikana kama "Penury Root-out Alliance - Tanzania" (www.pratanzania.org) limevimbua Mzinga Bora unaoitwa "PRA MODERN BEEHIVE". Mzinga huu...
  6. Sessan Msafiri

    Ufugaji nyuki wa kisasa

    Pole sana kwa kuchelewa kujibu; Mizinga yetu inakufikia hapo ulipo. Aidha kama Tenda ni kubwa, tutaandaa vifaa vyote na kuja kuvionganishia hapo site kwako. Kuna huduma ya Starter Kit kwa Wafugaji wapya; Kwa huduma hii utalipia 3.5M. Utapewa; - Mizinga 10 ya kisasa iliyo na nyuki. - Mavazi...
  7. Sessan Msafiri

    Ufugaji nyuki wa kisasa

    Naomba nikutoe hofu, Gharama zetu za mafunzo ni rahisi kabisa. Utapewa Mafunzo kwa vitendo, chakula, cheti, Kitabu kwa bei kati ya 50,000/= - 75,000/= kulingana na muda. Kumbuka sisi ni Shirika lisilo la faida, hivyo lengo letu mi kusaidia jamii. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Sessan Msafiri

    Ufugaji nyuki wa kisasa

    Ha ha ha ha, Sisi ni wafugaji wakongwe na mahiri. Ni wataalamu waaminifu. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Sessan Msafiri

    Ufugaji nyuki wa kisasa

    Mzinga unatoa 30kg ambazo ni sawa na 20ltr kwa Mwaka. Utalipia 150,000/= kupata Mzinga wako wa kisasa. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Sessan Msafiri

    Karibu kwenye mafunzo ya ufugaji wa nyuki kibiashara

    Naomba unitafute WhatsApp tafadhali 0759543133. Nitakuelezea zaidi kuhusu hii fursa
  11. Sessan Msafiri

    Naomba Ushauri: Nataka ku-import mizinga ya kisasa ya nyuki toka China

    *TANGAZO LA MAFUNZO* [emoji219][emoji219][emoji219][emoji219][emoji219][emoji219][emoji219][emoji219][emoji219] Shirika la *PRA - Tanzania* linawaletea Watanzania wote Mafunzo ya Ufugaji wa Nyuki Kibiashara kwa Vitendo. Mafunzo haya yatafanyikia *Usa River (Leganga), Arusha, Kwanzia...
  12. Sessan Msafiri

    Karibu kwenye mafunzo ya ufugaji wa nyuki kibiashara

    Okay, Naomba unitafute kwa namba 0759543133 tujadili
  13. Sessan Msafiri

    Karibu kwenye mafunzo ya ufugaji wa nyuki kibiashara

    Naomba kujua uko wapi ili tupange namna ya kuja kuwaondoa
  14. Sessan Msafiri

    Karibu kwenye mafunzo ya ufugaji wa nyuki kibiashara

    Samahani ndugu, Servers za Shirika la PRA bado ziko pending, ndiyo maana tumeshindwa kujibu. Hata hivyo, tunatoa huduma ya kuondoa nyuki zilizo weka makazi majumbani, maofisi, mashuleni, hospitalini, makanisani na sehemu yeyote zisipohitajika. Tafadhali tuwasiliane: 0759543133.
Back
Top Bottom