Ufafanuzi ulishatokewa na ikulu , lakini bado watu wanakaidi , kinachotakiwa hapo ni supporting docs zinazoonyesha safari yako haiko funded na serikali , end of story
Uandishi wa habari si kazi rahisi kama wengi wanavyofikiria , it is a matter of life or death !
Waandishi wa habari hawana ID fake kama za hapa jamii forum , majina yao yako wazi , sio kazi rahisi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.