Seems umetumwa aisee na hauna uzalendo ndani yako ,TTCL Ni mtandao wa kitanzania na unaendeshwa na watanzania wenyewe badala uwe wa kwanza kuitetea wewe mtanzania mwenzetu ndio unakua wa kwanza kuichafua, tupende vya kwetu jamani
Sent using Jamii Forums mobile app
Mhhhh tabata kimanga mtandao unapatikana vzr Sana,Cha kufanya nenda kwenye customer care shop pale nyuma ya tanesco tabata wakaangalie setting za simu yako na wakupe msaada ili ufurahie huduma za kizalendo .
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.