Recent content by SeniorMaunda

  1. S

    JamiiForums Tanzania Kupangiwa usaili wa mchujo na mahojiano

    Naona kama labda sijaeleweka vizuri. Mimi dashboard yangu inaonesha nitakuwa na interview za aina 2 yaani written test halafu namalzia na vipimo vya afya.lakini jamaa zangu kama 3 hvi wao dashboard yao inaonesha watakuwa na interview za aina 3 yaani written,vipimo vya afya halafu wanalzia na...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kupangiwa usaili wa mchujo na mahojiano

    Wadau naomba kuuliza hivi unaweza kupangiwa usaili wa mchujo(witten test) halafu usipangiwe usaili wa mahojiano(oral test)? Maana nimepangiwa usaili wa mchujo pekee lakini sijapangiwa usaili wa mahojiano lakini wenzangu kama watatu hivi wao wamepangiwa mpaka usaili wa oral. Naombeni msaada...
Back
Top Bottom