Habari za wakati huu Wakuu.
Naomba msaada wa mawazo kuhusu utaratibu wa kubadilishiwa kituo cha kazi au kuhamia taasisi nyingine ya Serikali.
Mimi ni mkufunzi wa Useremala chini ya Wizara ya Elimu, lakini taaluma yangu ni Civil Engineering.
Kwa sasa nina changamoto ya kifamilia, kwani mzazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.