Recent content by semuhile

  1. S

    Chama kwa CAF ni kama Messi kwa UEFA: Achaguliwa mchezaji bora wa CAF Champions League

    Mchezaji bora wakati timu ya taifa ya zambia anaisikia tu, ubora gan alionao kilema huyo
  2. S

    Chama kwa CAF ni kama Messi kwa UEFA: Achaguliwa mchezaji bora wa CAF Champions League

    Vipers iliyocheza na yanga siyo kama hii iliyokuja kucheza na simba, wachezaji kama bobosi na manzoki hawakuwepo kwenye mechi ya simba waliuzwa yakabaki matakataka tu na kama wangekuwepo wala msingetoboa.
  3. S

    Jemedari Said, kielelezo halisi cha wachambuzi wa mchongo

    Apeleke malalamiko yake kwa mh rais asitupigie kelele sisi, huo ni ubaguzi wake tu na chuki zake tu na wala hazitamsaidia.
  4. S

    Another disappointment performance from Aziz Ki

    We jamaa ni mshamba kweli, unafikiri kila siku itakuwa njema kazin, huna jipya nenda kalale tu.
  5. S

    Mnaobeza maamuzi ya TFF nikumbusheni ni lini CAF, CAS au FIFA zilitengua maamuzi/hukumu za TFF?

    Naomba mrejee ushauri wa mzee Aden Rage alisema pale panatakiwa itumike busara tu kuliko huko wanakodhan CAS watapata haki, kisheria Fei toto and makosa kimkataba kwasababu amevunja mkataba kihuni kwani mwajiri wake wa zaman hakuwa amekosea chochote kwenye mkataba wao baina ya yanga na Feisal...
  6. S

    Ahmed Ally: Simba imepungua ubora

    Mimi sikubaliani na hilo sema wachezaji wengi umri umekwenda sanaaaaa, timu za ulaya zinacheza kila kukicha mbona hawatoi sababu za kitoto hivyo? Tatizo la simba mnang'ang'ania wachezaji wale wale kila siku. Mnawaita wenye simba yao hawaguswi. Bocco kachoka, mkude, mzamiru, shabalala...
  7. S

    Ningekuwa Kocha wa Simba na Yanga ningeanza ifuatavyo

    Ndiyo maana haujawa kocha wa timu yeyote
  8. S

    Raja Casablanca FC wametegwa Makusudi na Simba SC na wameingia Mtegoni hawatoamini Macho yao

    Jaman mkiwa mmeshiba makande yenu muwe mnakwenda kulala tu kuliko kuleta porojo zisizo na kichwa wala miguu hapa,mitego mitego ya kuvulia samaki au?? Uongo mtupu. Mlitaka mcheze wakati wa joto ili muwachoshe waarabu mmekwamaa.
  9. S

    Raja Casablanca FC wametegwa Makusudi na Simba SC na wameingia Mtegoni hawatoamini Macho yao

    Jaman mkiwa mmeshiba makande yenu muwe mnakwenda kulala tu kuliko kuleta porojo zisizo na kichwa wala miguu hapa,mitego mitego ya kuvulia samaki au?? Uongo mtupu. Mlitaka mcheze wakati wa joto ili muwachoshe waarabu mmekwamaa.
  10. S

    Mpira wa Tanzania kila shabiki wa Yanga ni kocha

    Hayo ni maoni yako na tunakufahamu kiwa wewe ni shabiki wa simba huna lolote
  11. S

    Kama Feisal Salum angekuwa sio mtanzania, TFF isingeweka kiza kwenye suala lake. Akijichukulia ni Mzanzibari atapatiwa haki haraka

    Huyu jamaa hana tofauti na watangazaji wa kipindi cha michezo cha EFM,wanaojifanya wanafahamu uchambuzi wa mpira na sheria zake kumbe wapo pale kwa ajili ya kusifia simba masaa yote.
  12. S

    Sisi Simba SC na wachambuzi uchwara tumemponza Fei Toto

    Tatizo kubwa hawa wachezaji wetu huwa hawasomi mikataba yao na pia hiyo mikataba wakipewa wanafikiri kuwa ni kama barua za uchumba tu, hawasomi na kuelewa kuwa huo ni mkataba ambao una pande mbili. Unapohitaji kuvunja mkataba lazima pande zote mkae mezani muelewane kuwa sasa tunavunja mkataba...
  13. S

    Baada ya kuona Nguvu Kubwa inatumika Kumpamba Aziz K dhidi ya Chama ngoja nimalize Ubishi leo

    Gentamycin usimfananishe Azizi K na yule kinyonga wenu Chama, Chama anakuwa bora kwa mechi dhaifu mechi yenye kutumia nguvu na yenye speed huyo chama wako hana ubavu nazo ndiyo maana makocha wa kigeni wenye kupenda timu itembee chama huwa wanamweka benchi matokeo yake mashabiki wanamchukia kocha.
Back
Top Bottom