Naona Kikwete ameshindwa na kazi tuliyompa. Kwa nini tusitumie mtandao kuita maandamo ya nchi nzima?
Hawa watu wanaotetea serikali kwenye hii blog ni vizuri tuwajue. Tutakapomaliza kuchukua nchi baada ya maandamano makubwa lazima nao wakamatwe maana hawana adabu kabisa, wangekuwa karibu hapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.