1. Tanga population ya watu ni ndogo. Zaeni kwanza kwa kasi kama wasukuma nyie.
2. Business movements kutoka na kuingia Tanga siyo rafiki. Kidoogo biashara ya matunda.
3. Subirini cargo SGR, ya sasa ni ya abiria
CCM ni chama makini, kuhojiwa kwa Makonda ni utaratibu wa kawaida ndani ya CCM. Pamoja na mambo mengine, kuitwa kwa Paul Makonda ni msaada kwa CCM kupitia kamati ya maadili kupata more information juu ya wale wanaokiuka kanuni na taratibu za miiko ya kazi zao.
Nadhani alimaanisha wanaofanya biashara ya cryptocurrency wana earn more than what mbunge earns. Sidhani kama alimaanisha mshahara wa mbunge ni mdogo.
Kama alimwambia Kitila aache ubunge amfundishe how does the cryptocurrency works ni kumshawishi ajoin biashara anayoifanya, ama siasa tu.
Wadau,
Dunia sasa linaingia katika wimbi la nne (fourth wave) ya maambukizi ya korona, kama tunavyosikia na kuona kupitia vyombo vya habari vya kimataifa, Ujerumani maambukizi yamefikia takriban 52,000+ ndani ya masaa 24 ambacho ni kiwango kikubwa ukilinganisha na waves zilizopita huko nyuma...
Dodoma ni makao makuu ya nchi. Dar Es Salaam sehemu ya makazi ya mama yetu. Hamjui yupo kwenye polygamy's marriage jamani?
Rais kusafiri siyo to Dar-Dodoma, hata kwenda wilayani ni Taarifa
KAZI IENDELEE
For your information, wengi wa wanaokufa Uganda ni wale waliopata chanjo ya kwanza. Wataalamu wanasema once ukishapata chanjo ya kwanza utatakiwa upate hanjo ya pili ili iweze kuimarisha immune system.
Naunga mkono hoja ya Polepole, tusikimbilie kuchomwa chanjo, kama kuna uwezekano tuimarishe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.