Recent content by sellter

  1. sellter

    Mwenge wa Uhuru na Wasanii

    Zamani kulikuwa na Azam burudani kwa Wote ?
  2. sellter

    Sina imani na mwenendo wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Bunge hili limetupitusha kwenye mambo makubwa mawili . Mosi ni issue ya marekebisho ya Kikokoto kuwa 33% ya malipo ya mkupuo walipitisha kwa makofi na vifijo Leo wabunge wale wale wameanza kukutana na wasitaafu huko majimboni na vilio ni vingi maswali wanayo uliza ni kama hawakujua maamuzi yao...
  3. sellter

    Hongera na pole Balozi Siwa. Je, utaiweza TISS au TISS itakuweza?

    Watu wameweka mazoea ,wana sahau dunia inakimbia kasi , swala la intelligencia linataka watu wenye uwezo wa mkubwa kimbinu na exposure ya mambo mengi hivyo ni lazima kiongozi afanye hivyo.
  4. sellter

    Hongera na pole Balozi Siwa. Je, utaiweza TISS au TISS itakuweza?

    Kwa sababu JWT halijachezewa sana , kizembe hivyo lakini TISS kunaonekana kuna sehemu waliingiliwa na mamluki just thinking [emoji37]
  5. sellter

    Hongera na pole Balozi Siwa. Je, utaiweza TISS au TISS itakuweza?

    Mmmh utawafanyia hivyo wangapi ? Pia wateuliwa wote na watenguliwaji wanajua sheria na miiko ya kiapo Chao kabla na baada ya kazi hiyo na kwenda kinyume na hilo sheria zipo na nchi haijalala ujue hivyo.?
  6. sellter

  7. sellter

    Hongera na pole Balozi Siwa. Je, utaiweza TISS au TISS itakuweza?

    Hivi ukiwa spy master huwezi kuzidiwa kete na kuomba umwachie mwingine ? Mbona kama mnawafanya hawa watu kama Roboti, hivi kuwa hawana mapungufu , au wao wanadunia yao ya kutokuwa na mapungufu au kukosea ?
  8. sellter

    Kitendo cha Mwigulu kumtaja Rais kuhusika na ufisadi Ripoti ya CAG ni sahihi?

    Kwenye hili tumezunguka wewe hivi , mwenye kampuni au biashara unaweza mruhusu mhasibu wako kulipa ma B ya pesa hata kama wewe sio mtia "sahihi" bila kuwa na taswiswi, ebwana uliangalia kweli ni B au M hivi? Jamani hebu fanya kuwa unaniletea cheque za Ma B nione kwanza then muendelee na hatua...
  9. sellter

    Rais Samia kaniangusha na kunisononesha sana ripoti ya CAG 2021-2022

    Kuna shida ya elimu ya utawala wa sheria , hata kama hayo mamlaka Rais anayo haipi jukumu la kutoa amri,Kamata, weka ndani,ndiyo mtu aende mahakamani Rais anatufundisha juu ya Ubutu wa taasisi zetu za haki jinai na uchunguzi,nadhani kuna haja CAG report na PCCB report itungwe sheria kali mtu wa...
Back
Top Bottom