Recent content by self made

  1. self made

    Biashara inayoweza kukutoa ni ile inayokupa faida ya Tsh. 50,000 na kuendelea kwa siku

    Mimi nafikiri biashara hutofautiana kutokana na maeneo sio lazima uwekeze 5ml ndo uingize faida ya 50k,unaweza kuweka laki 2 na ukaingiza faida ya laki au 70k inategemeana unafanya nn na upo eneo gani,watu wa ziwani kama wapo nadhan wataielewa hii kwa upande wa samaki,mabondo n.k mtu ananunua...
  2. self made

    Kati ya Kahama na Katoro ni mji gani unafaa zaidi kwa biashara ya Juice Bar

    Vipi urahisi wa maisha apo boss na bei za nyumba za kuishi apo mjini
  3. self made

    Kati ya Kahama na Katoro ni mji gani unafaa zaidi kwa biashara ya Juice Bar

    Wakuu, habari zenu, Samahan mimi nipo Mwanza nina juice bar naona hapa biashara kidogo imekua ngumu nawaza kuhamia mji mmoja kati ya Katoro au Kahama, Naombeni ushauri kwa wenyeji wapi panafaa zaidi kwa biashara hyo na urahisi wa kupata eneo na matunda, pia aina ya watu sehemu izo, ASANTENI
Back
Top Bottom