Jamani nina miezi kaadhaa naangaika na tatizo la kuvimba upande wa jicho la kushoto mpaka mashavuni, nilipomuona daktari awali aliniandikia dawa hizi Celestamine na gluslovin but still tatizo likabaki palepale mbaali na hapo nimeshatumia ampiclox, cetrizine, na sasa njmepewa cephalaxin ndo...
Mimi nina laini tatu za voda na zote zinatumika na hiyo milioni tano ya faini sina wakianza kukamata wambieni waanze na mimi maana hata mtaani huku maisha ni tait nikale vya bure
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.