Nina Ndoto ya kuwa () Nilizaliwa Miaka ya 1990s katika Mkoa wa Mwanza ,Wilaya ya Missugwi ,kata ya Koromije na kijiji cha Koromije katika Zahanati ya Koromije.
- Safari yangu ya Elimu Ilianza Mnamo Mwaka 2005 Mpaka 2011 ,Nikahitimu Shule ya elimu ya Msingi ,Nilifanikiwa kujiunga na Elimu ya...