Recent content by sekyy

  1. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta Fremu ya biashara Kibaha

    Ndiooo boss
  2. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta Fremu ya biashara Kibaha

    Jaman bado sijapata fremu natafuta fremu ya biashara kibaha Kwa matiasi au kwa mfipa ata kongowe plzzzzz nashida nayo mnoooo 0757854660
  3. S

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa

    🤣 nmecheka haya tutaisogeza
  4. S

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa

    Hatuuzi boss 🙏
  5. S

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa

    Nyumba inauzwa Bagamoyo mjini Ina vyumba 3 vya kulala Kimoja master Eneo square mita 800 Bado mpyaaaaa Bei 190M Maongezi yapo 🙏🙏 Mawasiliano 0757854660
  6. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta Fremu ya biashara Kibaha

    Habari, Natafuta fremu kibaha eneo moja wapo kati ya haya Kwa matiasi Kwa mfipa Kongowe Iwe sehemu nzuri sio ndani ndani. Kama unayo pls nicheki 0757854660. Ofa yangu 70,80, mwisho 100 kwa mwezi 🙏
  7. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina Shahada ya Utunzaji Fedha

    Yan mbona nitaleta 😂🙏 kwa kunipa moyo
  8. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina Shahada ya Utunzaji Fedha

    🙏🙏🙏🙏
  9. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina Shahada ya Utunzaji Fedha

    Or ulitaka niseme receptionist 👍🏻
  10. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina Shahada ya Utunzaji Fedha

    Customer service bila shaka umeelewa sema umependa tu kuuliza 🙏
  11. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina Shahada ya Utunzaji Fedha

    Nimeomba TRA na Takukuru
  12. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina Shahada ya Utunzaji Fedha

    Wapendwa mimi ni binti wa miaka 25 naishi kibaha nipo mbele yenu nikiomba ajira mnisaidie naamini humu kuna watu mbali mbali pls nikomboeni mimi 😭. Elimu yangu ni stashahada ya utunzaji fedha (niwe mkweli sijawahi fanya hii kazi toka nimalize chuo sijafanikiwa kupata kazi ya fani yangu) ila ni...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Msaada pls

    Habari wakuu Kijana ambae ni fundi mzuri umeme wa magari anapatikana kibaha anatafuta kazi msaada wenu kwa mwenye kuweza kusaidia 🙏
  14. S

    JamiiForums Tanzania Kuhusu kazi za mkataba

    Habari zenu wakuu Samahani kuna kazi zilitangazwa na Tumbi hospital kwa walio omba tujuzane Kuna waloitwa?
  15. S

    JamiiForums Tanzania Ajira: Store Keeper anahitajika

    Wanasema wanataka mvulana unge edit kidogo ili wasichana tusiangaike kuomba 😔
Back
Top Bottom