Recent content by sekiseki

  1. S

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye mke mtarajiwa wa Hemedy PHD

    We mdau hapo juu nadhani unaongea bila kumjua huyo mtu unaemuongelea. Muna mi namjua uzuri na alikuwa anasoma shule moja na mdogo wangu Liverpool, uk . sasa kwa taarifa yako mtu yoyote anaemtambua huyu dada atakuwa amashtushwa sana kuona anatembea na Hemedy kwani ni watu wawili tofauti sana...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kama ulikuwa hujui basi Hemedy PHD na Najma sasa ng'are ng'are

    Watu bwana, yule unadhani kweli haogi kwa akili yako? alikuwa anataka tu attention kwasababu namjua vizuri Kuoga anaoga tena kama kawa
  3. S

    JamiiForums Tanzania Diamond, Wema Sepetu anaolewa Lini?

    Hahahahahahahahaahaha! Eti hawajawahi ku duuuu.:wave:
Back
Top Bottom